Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Binti Mfalme Adai Kushikiliwa Mateka na Baba Yake...

 


Umoja wa Mataifa unafanya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Mamlaka ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kumshikilia bila hiari Binti Mfalme Latifa, binti wa Kiongozi wa #Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum

 

Kupitia Video iliyorekodiwa kisiri, Binti Mfalme huyo amemlaumu Baba yake kwa kumfanya mateka ndani ya Dubai tangu alipojaribu kutoroka Mji huo mwaka 2018

 

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa #HakiZaBinadamu katika Umoja wa Mataifa imesema inaazimia kuchunguza kuhusu hali ya Latifa baada ya video yake kuhakikiwa

 

Sheikh Mohammed amejenga Jiji lenye mafanikio makubwa lakini Wanaharakati wa Haki wanasema hana uvumilivu na wapinzani na mfumo wa Mahakama unawabagua Wanawake.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments