Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

FIFA Yaifungia Yanga Kufanya Usajili Kwa Miaka Mitatu, Kisa Mchezaji Tambwe


Shirikisho la soka duniani ‘FIFA’ limeifungia klabu ya Yanga kutokufanya usajili kwa misimu mitatu mfululizo kufuatia sakata la aliyekuwa mchezaji wao, Amissi Tambwe.


FIFA aimeifungia klabu hiyo kutokana na kutomkulipa mshambuliaji wao huyo wa zamani raia wa Burundi malimbikizo ya pesa zake za usajili pamoja na mishahara.


Lakini, Katika hukumu hiyo ya FIFA, Yanga wamepewa nafasi ya kufanya maamuzi.


Yanga wameelekezwa kumlipa Tambwe pesa zote na endapo itashindikana basi kifungo cha usajili kitawekwa kwa misimu mitatu na kufutiwa alama zote na kushushwa mpaka ligi daraja la kwanza.

Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments