Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mike Sonko Akanusha Mashitaka Dhidi yake

 


Gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko amekanusha mashitaka 12 dhidi yake, ikiwa ni pamoja na ghasia na wizi wa kutumia ghasia, wakati wa kesi yake iliyofanyika katika mahakama ya sheria ya Kiambu, viungani mwa mji mkuu Nairobi.

Hivi karibuni Bw Sonko alidai kwamba yeye na katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani Karanja Kibicho alihusika katika kupanga ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa mzozo wa matokeo ya uchaguzi.

Vyombo vya habari nchini Kenya vimekua vikiripoti juu ya kesi ya Bw Sonko kwenye mitandao yake ya kijamii kiwa ni pamoja na Twitter:

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

1 Comments

  1. Briged1aMeja Jeerali Soko, Amepelekwa Mahakama ya Kijeshi.? kama alivyo?

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)