Hemedy PhD: Sijichubui, Napaka Poda kwa Wingi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’ amewafunga midomo baadhi ya watu wanaomsema kwamba anapaka mkorogo kwa kuwaambia yeye ni mtu wa kupiga poda pekee.


Akizungumza na Mikito Nusunusu, Hemedy amesema kuwa kwenye maisha yake hajawahi kujichubua rangi aliyonayo amebarikiwa na Mungu lakini kuhusiana na poda hakatai, anapaka sana.“



Watu wamekazana kwamba ninajichubua, naweza nikawapeleka chumbani kwangu wakakague huo mkorogo kama upo, hii ni rangi niliyojaliwa na Muumbaji, kuhusiana na poda sikatai napaka sana ndiyo maana napendwa na watoto wazuri,” alisema Hemedy

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad