Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kumekucha...Mbunge Amuomba RAIS Awaachie Masheikh wa Uamsho Kama Alivyowaachia Waethiopia

 


Mbunge wa Jimbo la Chonga, Pemba, Salum Mohammed Shafi ametoa hoja kuhusu masheikh wa Uamsho ambao kesi yao inaendelea katika Mahakama za Tanzania bara


Salum amehoji sababu ya kesi kusikilizwa Tanzania bara, ikiwa #Zanzibar ina Mahakama Kuu yenye mamlaka kamili ya kuamua masuala yahusuyo Visiwa hivyo


Ameeleza kuwa, kesi ya Masheikh wa Uamsho imekaa kwa takriban miaka 8 ikiwa upelelezi unaendelea na kumuomba Rais Magufuli kuwasamehe kama alivyofanya kwa Wahamiaji haramu wa #Ethiopia

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Aidha, akiongeza hoja zake Mbunge Shafi amesema Tume Huru ya Uchaguzi na #Katiba Mpya haiwezekani kuwa na mwamuzi ambaye pia ni mchezaji uwanjani

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments