Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mama Mzazi wa Mchezaji Ronaldinho Afariki Dunia...Kisa Kizima Hichi Hapa

 
Mama wa nyota wa zamani wa Barcelona Ronaldinho, Dona Miguelina amefariki dunia leo Jumapili akiwa na umri wa miaka 71.


Mnamo mwezi Desemba mwaka jana Miguelina alilipotiwa kupata virusi vya corona na kulazwa hospitali, katika Mji wa Porto Alegre ambapo kwa mujibu wa mtandao wa football-espana umebainisha kuwa inaweza kuwa ndio sababu ya kifo chake.


Ronalhinho kupitia akaunti yake ya Twitter tayari amethibitisha kutokea kwa msiba huo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments