Mange Kimambi Amshukia Max Rioba Baada ya Kusema Wanaume Hawapendi Wanawake Wanao Omba Omba Pesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ameandika Mange Kimambi:

Maneno ya wanaume wasio na hela 不不不


Kwa kifupi anasema anataka kut...a bure 不不. Eti sio tunamaliza mambo yetu then unaanza kuomba hela. Kha! Yani anaongea kabisa kukupeleka kwake likufanye mpaka pua zikutanuke ila usiombe hela 不, huyu kaka hayupo serious.


Aliposema mahusiano casual mi nikajua labda hakuna sex involved ni anakutongoza tu nikamuelewa anachosema, he kumbe casual anamaanisha anakufirigisa kisawasawa ila hakuchukulii kama GF, anakuchukulia kama malaya丹‍♀️. I’m sorry chief mi tukishafanya mambo hayo, you are boyfriend,my husband to be, and we holding hands, you are lucky if I don’t post you 不, hakuna ucasual kama unanitia aisee.

Hamtaki kuhudumia msizini hadi muoe. Pumbav!

Ila hawa wanaume wa hivi huko Tz wametokea wapi? Mbona enzi zetu hawakuwepo? Jamani hakuna wanaume wahongaji duniani kama watz na wanaigeria. Jamani enzi zetu mwanaume anakumeet Rose garden jina hakujui analipa bill meza yenu yooote. Namba inaletwa imeandikwa kwenye dola 100, mnaaga mnarudi chuo inatoka dola 100 ingine unaambiwa upendeze kabla hujaenda kidate. Yani mtu hadi unafika chuo usha fall in love na jamaa 不不. Jamani hata siku mki-Do unakata mauno feni 不不. Hawa wanaume wa hivi ndo maana kutwa wanacomment kwenye video za wanawake wakikatika mauno ‘kama huyo chumbani hawezi’ pumbav nani atenguke kiuno juu ya bahili? nalala ka kilema, mtabaki kudhani kila mwanamke hajui kitu 不不


Ilani hawa vijana wa sasa ndo ndo wanaharibu reputation nzuri ya wanaume wa TZ, wanataka kuiga mambo ya wazungu. Embu bakini na utamaduni wetu , acheni kuiga mabeberu. Huku kwa wazungu tunakubali kuinvest in a relationship kwa shingo upande maana ndo culture yao na pia sio malaya mbwa kama wanaume zetu Africa.

Hapana aisee mi siku nikiamua kurudi kudate mtanzania na expect uhongaji wa hali ya juu ila pia nna expect kuumizwa roho 不不

By the way hakuna anaeuza K, nachosema ni kwamba muache upumbavu wa kutaka mpewe huduma za mke kabla ya ndoa huku nyinyi hamko tayari kutoa huduma za mume kabla ya ndoa.

Kumaliza huu utata mi naona kila mtu abaki na chake, mwenye K yake abaki nayo na mwenye pesa zake abaki nazo, hakuna kuombana. Atakae anza kuomba cha mwenzie nae awe tayari kuombwa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad