Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC
GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa wengine kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa balozi wa Italia nchini humo, Luca Attanasio, na mlinzi wake.

 Mwili wa marehemu unasafirishwa leo kwenda nchini Italia kutoka uwanja wa ndege wa Goma mashariki mwa DRC.

 Attanasio na mlinzi wake waliuawa baada ya msafara wa magari ya Umoja wa Mataifa kushambuiliwa siku ya Jumatatu mashariki mwa nchi hiyo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments