Nay wa Mitego ameamua kujihami na kuuliza hili swali, Kafunguka kuhusu Sarah 'Yupo Single si ndio? Baadaye isije Ooh umemchukulia Mwenzio'
Nay ameandika haya:
Kwaiyo Yani Ndo Kusema Yupo Singooo Si Ndioo.? Badae Isije Ooh Umemchukulia Mwenzioooo😂. Yani Na Valentine Hii Yupo Mwenyewe Yani😂🙆🏿♂️. Wauni Tunaulizaga Kwanza Maana Hatutaki Zengwe Akaja Kupigwa Mtu Bureeeeeeeeeee.
Tazama Video:
Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments