Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Waalgeria waomba kulitumia dimba la Mkapa kuwakabili Mamelodi Sundowns
Timu ya CR Belouizdad ya Algeria imeomba kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchi Tanzania kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaa kama kiwanja chake cha nyumbani kwaajili ya mechi ya Ligi ya Mbingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.Mechi hiyo ya hatua ya makundi itachezwa Februari 28 mwaka huu kuanzia saa 12 kamili za jioni.

CR Belouizdad iliwasilisha ombi hilo kwa TFF ikitaka kucheza mechi hiyo jijini Dar Es Salaam na Shirikisho hilo lenyedhamana na soka nchini limekubali ombi hilo la CR Belouizdad baada ya kushauriana na Serikali.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments