Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Akamatwa kwa tuhuma za kusambaza uzushi kuwa Rais Magufuli ni mgonjwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni Mgonjwa.
Kamanda Kingai amesema kumekuwa na tabia ya baadhi wa Watu pindi wanapotumiwa taarifa za uzushi nao wanasambaza bila kujua kuwa ni kosa kisheria na kusema wanaendelea kuwafuatilia wote wenye tabia hiyo na wakikamatwa watafikishwa Mahakaman

Post a Comment

0 Comments