Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Astrazeneca Yasema Hakuna Ushahidi wa Chanjo Kuwa na Hatari ya Kuganda Damu

 


Kufuatia mataifa mbalimbali ulimwenguni kusitisha matumizi yake, Kampuni ya #AstraZeneca imesema hakuna ushahidi wa hatari ya kuganda damu kutokana na Chanjo hiyo


Imesema takriban watu Milioni 17 wa Umoja wa Ulaya (EU) na Uingereza wametumia Chanjo hiyo na hakuna ushahidi wowote wa hatari uliopatikana katika kundi lolote


Kampuni hiyo pia imeeleza imefanya na inaendelea kufanya vipimo vya ziada pamoja na Mamlaka za Afya za Ulaya, na vyote havijaonesha sababu ya kuwa na wasiwasi Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments