Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ikulu ya UK yavunja ukimya baada ya kushutumiwa na Meghan kumbagua, yadai familia imesikitishwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Hatimaye Ikulu ya Buckingham, makazi ya familia ya kifalme ya Uingereza imevunja ukimya jioni ya Jumanne hii baada ya mahojiano mazito kati ya Prince Harry na mkewe Meghan moja na Oprah Winfrey.

VIDEO:
Post a Comment

0 Comments