Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mahari yangu sio chini ya Milioni 20- AgnessMrembo Official Agness maarufu kama Agness wa Uchebe amefunguka kusema wanaume wanaotaka kumuoa mahari yake ni kuanzia shilingi Milioni 20 kama hauna hautaweza kumpata.
Agness wa Uchebe amesema sababu ya kutaja mahari hiyo ni kutokana alivyojitengeneza kwenye maisha yake, anavyojieweza na anavyojielewa.

"Mahari yangu mimi ni kubwa sana kwa sababu nimeshajitengeneza kwenye maisha yangu na najielewa, kama nyumba na gari vyote ninavyo pia nina biashara zangu kwa hiyo mahari  lazima iwe kubwa, mahari yangu sio chini ya Milioni 20 wanaume wajipange sana" amesema Agness wa Uchebe 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments