Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Museveni amlilia Magufuli "alikuwa kiongozi anayeongoza kwa uhalisia"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni ametuma salamu za rambirambi katika ukurasa wake wa Twitter.
Rais Museveni amesema, amesikitishwa sana na kifo cha Rais Magufuli.

Alikuwa kiongozi ambaye anaongoza kwa uhalisia na aliyeamini katika kukuza uchumi wa Afrika Mashariki.

Tunajumuika na Watanzania kuomboleza kifo cha mtoto wa Afrika.

Roho yake ipumzike kwa amani.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments