4/28/2022

Mwanaume Ajijengea Kofia ya Kufunika Uso Mzima ili Isaidie Kuacha Kuvuta Sigara


Mwanaume mmoja wa kituruki kwa jina la Ibrahim Yucel alikifungia kichwa chake kwenye kibanda kidogo kama kofia ili kujisaidia kuacha kuvuta sigara.


Yucel alifikia uhamuzi huo baada ya majaribio yake kadhaa ya kutaka kuacha kuvuta sigara kushindikana.


Mkewe ndiye alikua anahifadhi ufunguo wa kibanda hiko na alikua anamfungulia wakati wa chakula tu.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger