Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwili wa mwandishi wa habari wa ITV umektwa barabarani, polisi yathibitisha

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Kituo cha Television cha ITV kimeripoti taarifa za uthibitisho kuhusu kupatikana kwa mwili wa Mwandishi wake wa Habari Blandina Sembu ukiwa umetupwa njia panda ya ITV, Mwenge Dar es salaam.
Taarifa hiyo imesema Jeshi la Polisi Kinondoni limethibitisha kutupwa kwa mwili wa Mwandishi wa habari ITV/Radio one na Mtayarishaji wa kipindi cha Jarida la Wanawake Blandina Sembu katika eneo la njia panda ya ITV.

Hadi sasa Watu waliofanya tukio hilo hawajajulikana lakini imeelezwa gari walilokua wakitumia ni Noah, Polisi wanaendelea kuwasaka. 

Post a Comment

0 Comments