Wakazi 'Turuhusu Watu Kuomboleza Watakavyo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wote tumeguswa na msiba kwa Mshtuko; hata kwa tetesi za "Kijajusi" ziliashiria kuwa hii siku inakuja.

Ila tumeguswa kibinafsi na kiutofauti kila mmoja kulingana na jinsi Rais Magufuli alikuathiri vipi na alimaanisha nini kwako.
Siwezi kuwa nimeguswa kuliko Wanachama wa CCM, ila na wao hawawezi kuguswa kuliko Wasaidizi wake (Mawaziri, Makatibu, RCs, DCs, Mabalozi, nk) ila na wao hawawezi kuguswa kuliko familia yake (Mke, Watoto, Ndugu, Jamaa).

Ila pengine alikuwa na maadui, au watu ambao hawakumkubali personally au aliwaathiri negatively. Inawezekana (Alikuwa binadamu na wote tuna mapungufu).

Wote hao wana haki ya ku-react accordingly bila kuwa Judged. Tusiwashangae wasiohuzunika na wala tusiwakejeli wanaohuzunika sana, maana hatujui what he meant for them.
Let people be, wanaocheka au kulia! 🤷🏾‍♂️

Ni kipindi cha uncertainty na (God forbid) possible turmoil, ndio maana viongozi wa kisiasa na kidini wanahimiza utulivu na kuweka tofauti zetu pembeni (It's a rare scenario to lose a seating President).

Ndio, wapo watakao tumia hii kama fursa ya kuonekana (Kiki kama zote), but let them be. Who are we to judge?! KILA MTU ANA HISIA ZAKE, NA ANA UHURU WA KUZIONYESHA ATAKAVYO NA AWEZAVYO... it's that simple.

The Leader
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad