Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Watangazaji 3 wa Homeboyz Radio ya Kenya watimuliwa kazini kwa kushabikia ukatili dhidi ya wanawake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Watangazaji watatu wa kituo cha redio cha Homeboyz cha Nairobi, Kenya wamefukuzwa kazi Jumamosi hii baada ya kufanya majadiliano yaliyoonekana kushabikia ukatili dhidi ya wanawake.

VIDEOPost a Comment

0 Comments