Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Zuio la Mahindi Kenya, Yadaiwa Naibu Rais Ruto Anataka Soko la Mahindi Kutoka Shambani Kwake

 


Naibu Rais wa #Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la Mahindi la hekari 500,000 Nchini DR Congo, ambapo alitumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko


Baadhi ya Wabunge wa DRC wamethibitisha hilo na kusema ili kupata soko la Mahindi, Ruto alilazimika kuzuia Mahindi kutoka #Tanzania na #Uganda ili awe anaagiza kutoka DRC ambayo ni kutoka kwenye shamba lake


Kenya ilizuia mahindi ya Tanzania na Uganda kwa barua ya Machi 5, 2021 ambapo walitoa tuhuma kuwa Mahindi hayo yana sumu kuvu na yamesababisha vifo vya Wakenya.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments