Ally Bananga 'Nimeamua Kuwa Chawa wa Mama Samia na Rosa Ree, Naona Wakaka Wanachambana tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanasiasa Aly Bananga Ameandika haya kuhusu Rosa Ree na Kinachoendelea mtandaoni sakata la Paula, Harmonize na Rayvanny


Reposted from @binamubananga @rosa_ree
#Satan
.
Wakati wakaka wameamua kuchambana sisi tusiofurahia ujinga ule tumsapoti aliyeamua kuwa bize na kazi.
.
Anajua mpk anakera
Mpk sasa toka mwaka huu uanze nimechagua kuwa chawa wa wanawake wawili waliokonga moyo wangu;
1-My lovely Prezoo Mama Samia
2- Bi'mdashi @rosa_ree
.
Let's gooooo
Shout-out kwako mtu mnene @jabirsalehtherealest kipande cha @efmtanzania
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad