Breaking: Tani Moja Ya Heroin Yakamatwa Kilwa Masoko
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha Jeshi la Wananchi (JWTZ) leo Aprili 24, 2021 wamekamata zaidi ya tani moja ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Dawa hizo zimekamatwa eneo la Kilwa Masoko katika Bahari ya Hindi zikisafirishwa kwa kutumia Jahazi la Al Arbo, likiwa na watuhumiwa saba ndani yake.

Waliokamatwa ni Jan Mohammad Miranira aliyekuwa nahodha wa jahazi hilo na wenzake sita ambapo jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi bado zinaendelea kwani simu yake inaita bila kupokelewa.

Katika tukio hilo, watu saba wamekamatwa ambao ni
1. Jan Mohammad Miranira (Nahodha).
2.Amir Hussein.
3. Yusiph bin Hamad.
4 Salim Bin mohammad.
5. Ikbal Pakir mohammad.
6. Jawid Nuhan Nur Mohammad.
7. Mustaphar Nowani Kadirbaksh.


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad