Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jela Miezi Kumi Kwa Kuwapiga Picha Polisi Waliokuwa Wanakata Roho Katika Ajali

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Richard Pusey (42) amekutwa na hatia kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha Maafisa wa Polisi waliofariki katika ajali


Jaji Trevor Wraight amesema jambo alilolifanya Richard lilikuwa la kikatili. Familia za Marehemu hazijaridhishwa na muda wa kifungo uliotolewa

Post a Comment

0 Comments