Kipakatalishi Kilichonipa Majonzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Tangia utotoni mwangu kipindi nasoma shule ya msingi,ilikuwa ni ndoto yangu kubwa siku moja kuweza  kufikia chuo kikuu katika masomo yangu.Nilijitahidi kwa vyovyote nilivyoweza kuweza kufanikisha  malengo hayo.Baada ya takribani miaka kumi hivi,nilijaaliwa kuiona milango ya chuo kikuu kimoja  mashuhuri sana nchini Kenya cha Nairobi na nikawa na kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.Na  kama ilivyo ada ya binadamu wengi kuafikia lengo moja ni kuwazia lingine,nilitamani sana kumiliki  kipakatalishi ilmradi kufanikisha wepesi wa kufanya kazi mle chuoni. 

Niliwaeleza wakongwe wangu kuhusu swala hilo na likawaingia kwenye fikra zao na kupelekea wao  kujibana na kujigaraguza juu chini na hatimaye atafutae hakosi kwani walipata hela zilizoniwezesha  kumiliki kipakatalishi changu maridadi.Nilijihisi mwenye kustahili kuwepo mle chuoni kwani ningeweza  kuyafanya ambayo nilistahili kufanya kama mwanafunzi kwa wepesi zaidi.Ni kifaa nilichokidhamini sana  na kukitunza sana kwa umakini mkubwa kiasi kwamba popote nilipokwenda niliandamana na  kipakatalishi changu. 

Kifaa chenyewe kilikuwa cha manufaa sana kwani kilitegemewa sana na wanafunzi wenzangu  ambao hawakujaliwa kumiliki vyao binafsi.Kadri muda ulivyokwenda manufaa yalizidi kwani  kiliniwezesha hata kuweza kupata senti kutokana na kazi za uandishi nilizojihusisha nazo. 

Siku moja baada kutoka chuoni na kuelekea chumbani kama ilivyokuwa desturi yangu,nilikiweka  kile kipakatalishi pale sebuleni ili kuyatekeleza majukumu mengine kam vile kuosha nguo na pia  kuandaa mlo ili kujiandaa kukamilisha kazi za mhadhiri nilizojukumiwa kuzitekeleza.Nilitakiwa  kwenda sokoni kutafta chajio ili kujiweka sawa ila nilisahau kufunga mlango wa chumba changu  siku ile. 

Niliporejea sikuyaamini macho yangu kwa nilichokiona.Yarabi maskini!Kipakatalishi sikukipata  nilipokiacha.Kimekwenda wapi jamani,nani kakichukua na kwann.?Ndio baadhi ya maswali  yaliyonijaa kwenye kichwa changu huku Machozi yakinidondoka machoni nisipate jawabu.Ni  wakati wenye changamoto zaidi kuwahi kunitokea katika takribani miongo mitatu niliyoishi  chini ya jua.

Niliwaza wapi ningeweza kupata msaada kwa kipindi kile na kujishawishi kuwa katika kituo cha  polisi cha Utumishi,ningeweza kurejesha matumaini tena.Nilielekea kituoni humo kuripoti  yaliyonikumba chumbani mwangu,ambapo maafisa wa polisi waliahidi kufuatilia na kuhakikisha  aliyehusika amepatikana na kukamatwa katika jitihada za kurejesha kipakatalishi changu  kilichonikosesha usingizi tangu kutoweka kwake. 

Kwa zaidi ya miezi mitatu nilikuwa nikifuatilia kwenye kituo cha polisi ili kufahamu walipofikia  na uchunguzi wao ila sikuwahi pata jawabu lolote kando na kupigishwa njaramba kila uchao.Ni  jambo ambalo lilinipiga dafrao kwani niliamini fika kwamba ningepata msaada pale kituoni bila  matumaini kamwe.Siku moja tukiongea na jamaa wangu kijiweni,alinieleza kuhusu jinsi  nduguye aliwahi kusaidika kwa "Kiwanga doctors" baada ya kuugua saratani kwa miaka miwili  na akapona kabisa.Niliutilia ushauri wake maanani sana kwani nilikuwa nimeshakata tamaa  nisijue la kufanya.Ilikuwa ni risasi ya mwisho ili kurejesha furaha yngu maishani. 

Nilitafta huduma za Kiwanga doctor na nikaagizwa ndani ya siku nne nitakuwa nimepata  kipakatalishi changu bila hata kung'ang'ana.Mwanzo sikuwa mwepesi wa kuamini kwani tayari  nilikuwa nimetendwa imani yangu ilipokuwa.Ilipowadia siku ya nne nilipata simu kutoka kwa  mtu mgeni sana kwa masikio yangu,sauti iliyojaa majuto na masikitiko akieleza jinsi alivyoniibia  chumbani mwangu.Nilimwagiza akilete mpaka alipokitoa na hatimae nikatuliza ghadhabu baada  yakukipata kifaa nilichopenda sana maishani. 

Kiwanga doctors wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile msukumo wa damu,saratani ya  kibofu,Ugonjwa wa moyo miongoni mwa mengine.Vile vile wanatoa huduma kama vile  Kunongesha mapenzi,kupata kazi,kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965  

/E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad