Makamu wa Mwenyeikiti wa chama cha ACT wazalendo Juma Duni Hajji kizungumza na Makamu wa Kwanza Wa Rais zanzibar yenye Muundo wa Umoja wa Kitaifa Othman Masoud Othman Shariff alipofika Afisi Kuu ya Chama hicho Vuga Mjini Zanzibar kwa Ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ambapo kwa Upand wa makamu huyo ni kikao cha kwanza chama kuhudhuria.
0 Comments