Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mnamsifia Rais ili mteuliwe – Askofu Konk atema cheche

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
“Nimeona kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya Wanasiasa wakimsifia Rais Samia na kutoa kashfa juu ya utendaji wa Serikali iliyopita ya Hayati Dkt. John Magufuli, watu hawa wanajipendekeza ili waangaliwe katika nafasi za uteuzi, huo ni unafiki mbaya sana,” Askofu Peter Konk -Mwenyekiti wa Makanisa ya Kipentekoste.

Post a Comment

0 Comments