Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mvua yapiga Dar, Mamlaka ya hali ya hewa yaonya
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa angalizo la mvua kubwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Lindi, Morogoro, Pwani (ikihushishwa visiwa vya Mafia), Dar es Salaam na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.Mamlaka hiyo pia imetoa angalizo la upepo mkali kupiga unaofikia kilomita 40 kwa saa  katika baadhi ya maeneo ikiwepo Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Pwani.

Hata hivyo mvua imeendelea kunyesha asubuhi ya leo katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na kisababisha adha kwa baadhi ya watembea kwa miguu na wale wa vyombo vya moto.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments