Ticker

6/recent/ticker-posts
.

MWAMBE: TUMUACHE RAIS, ANAFAHAMU WAPI ATAIFIKISHA TANZANIA

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa 'hapa na pale' kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza hayo leo Bungeni Dodoma

Amesema, "Anaifahamu kazi yake, alikuwepo kwenye kupanga mipango na yeye ni sehemu ya mipango hii tunayotekeleza kwa sasa. Mimi ningependa kushukuru kwa ushauri lakini tumuache Rais. Anafahamu wapi atafikisha Nchi yetu"

Post a Comment

0 Comments