Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rais wa Marekani, JOE BIDEN akimpigia magoti ya kuomba msamaha mtoto wa GEORGE FLOYD

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Rais wa Marekani, JOE BIDEN akimpigia magoti ya kuomba msamaha mtoto wa GEORGE FLOYD kutokana na kile kifo cha kikatili kilichompata baba yake.

George Floyd aliuliwa na polisi wa Marekani  kwa kukandamizwa na Goti shingoni hali iliyolaaniwa duniani kote na ilizua vurugu na maandamano Marekani kote, mwaka jana.  

Post a Comment

0 Comments