Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Samia Suluhu 'Sahauni Katiba Mpya Kidogo'Rais @samia_suluhu_hassan ni kama amejisahau mara nyingi kwa kusema linaoendelea ni Bunge la Katiba badala ya kusema ni Bunge la Bajeti.
.
Akajihoji mwenyewe “Hivi nina maradhi gani na Katiba?”. Akatoa majibu kwamba labda ni kwq sababu watu wanamsukuma sana kuhusu Katiba Mpya mpya.
.
Akawapa majibu “.... lakini wasahau kidogo...”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments