Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Steve Nyerere Asimama na Watanzania, Huu Ndio Ujumbe Alioandika Jana Kuhusu Kupanda Kwa Bei za Bundle

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Baada ya watanzania kulalamika juu ya gharama za mitandao ya simu huu hapa ujumbe wa @stevenyerere2

Ameandika masaa 20 yaliyopita kupitia ukurasa wake wa Instagram πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"MH WAZIRI KWANZA NAKUPONGEZA KWA KURUDI TENA KWENYE WIZARA YAKO MH, MUNGU AKUONGOZE KWA KILA JAMBO , MH NAKUOMBA NAKUOMBA NAKUOMBA NAKUOMBA NAKUOMBA NAKUOMBA NAKUOMBA HILI SWALA LA BANDO , VIFURUSHI KWAKWELI VINAUMIZA SANA , LIMEKUWA JANGA KUBWA KWA KILA MWENYE SIMU , YANI KIFURUSHI CHA ELFU KUMI NI SAWA NA KIFURUSHI CHA ELFU MOJA MH WATANZANIA WANALIA NA HILI NA KIMBILIO LAO NI WEWE MH , TUNAUMIA SANA NAAMINI KWA SERIKALI YA MH RAIS MAMA SAMIA HASSAN SULUHU KWA HILI SOON UNALIMALIZA MH @faustine_ndugulile TUNAOMBA SANA NI KILIO CHA WENGI KAKA BANDO , VIFURUSHI.

Dakika kadhaa Tena kaongeza ujumbe unaosomeka hivi

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Mh Waziri Nakuomba sema neno 1 Tu kwenye swala la BANDO na VIFURUSHI, hili ni janga na Msiba wa wanyonge wanalia kila Kona najua unajua kwani Serikali haijawahi shindwa kitu kwa kusimama na wananchi wao, Ipo Tija ya haraka sana kukaa kikao na aya makampuni ., Mh waziri Pasaka hii Inatufika tukiwa hoi na BANDO tu Mangine yote Byeeeeeeee Mh Waziri Ni kilio cha wapiga kura wetu lakini tusisahau sasa hivi Dunia imebadilika kila jambo lipo kwenye Simu taarifa zote mtandaoni sasa kwa BANDO hili tunaitaji Huruma yako mzee mwenzangu Embu simama sema na Watanzania sasa kuhusu BANDO , Nakuamini sana πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ‘‹πŸΎπŸ‘‹πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ‘πŸΎ @faustine_ndugulile

Post a Comment

0 Comments