Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Sven Vandbroeck Aipeleka rasmi Simba FIFA - Kisa deni la 100m .

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMiezi 3 kamili tangu aondoke Msimbazi, Sven Vandenbroeck ameipeleka Simba FIFA kudai malipo ya US$44,000 zaidi ya millioni 100 za kibongo, ambazo anadai ni malipo ya bonasi.

Inaripotiwa baada ya muda mrefu kuomba alipwe stahiki zake, hatimaye Vandenbroeck, sasa amepeleka malalamiko yake FIFA.

Suala hili lilipelekwa FIFA wiki zilizopita na Shirikisho hilo la soka limethibitisha kuanza kulifanyia kazi shauri hilo.  

Post a Comment

0 Comments