Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Twaha Kiduku kukatwa asilimia tano ya mapato kwenye pambano lake leo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Bondia Twaha Kiduku amekubali kukatwa asilimia tano ya mapato yake katika pambano lake dhidi ya Tshibangu Kayembe Wa DR Congo 🇨🇩 baada ya kuzidi uzito jambo lililozua utata katika zoezi la kupima uzito hapo jana
Rasmi sasa Kiduku amekubali yaishe na atapanda ulingoni leo dhidi ya Tshibangu Kayembe akiwa amekubali kukatwa fedha katika pambano hilo kwasababu ya kuzidi Uzito

Kiuhalisia mabondia wote walipaswa kuwa na kilo zisizo zidi 72 kutokana na pambano hilo kuwa la uzito wa kati (Middleweight) lakini Kiduku alikutwa na KG 76 huku mpinzani wake akiwa na KG 72

Twaha Kiduku vs Tshibangu Kayembe

Post a Comment

0 Comments