Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wakenya Waandamana Kisa Masharti ya Covid19
Baadhi ya Wananchi wa #Kenya wameandamana kupinga hatua zinazochukuliwa kudhibiti maambukizi ya #COVID19 wakibeba mabango yenye jumbe mbalimbali huku wengine wakiandika kuwa “Njaa Pia ni Janga.”

 

Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoka na kuingia Majimbo Matano yanayosadikiwa kuwa na viwango vya juu vya maambukizi ikiwemo Nairobi.

 

Pia, Rais alipiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo yaliyowekewa masharti ya usafiri na kuagiza wenye migahawa kuuza vyakula vya kwenda navyo nyumbani.

 

Bunge la Mwananchi na Muungano wa Wananchi vimesema masharti hayo yanawaathiri Wananchi wa kawaida kiuchumi kwa kuwa inaathiri shughuli zao za Kiuchumi.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments