.

5/29/2021

Alikiba akanusha taarifa za kuwa baba wa watoto saba, aandika ‘Uongo’
Kupitia akaunti yake ya Twitter msanii huyo wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya Kings music Alikiba ameandika kuwa “LIES”Taarifa hiyo iliandikwa na blog moja kutoka Nairobi Kenya ikisema kuwa “Alikiba becomes father for the 7th time”  Ikimaanisha “Alikiba amekuwa baba wa watoto sabab” baada ya kuiona habari hiyo Alikiba ali Retweet kwenye akaunti yake na kuandika “Lies” na watu kuanza kuishambulia blog hiyo kutoka Kenya.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger