.

5/20/2021

Alikiba arusha dongo kwa Diamond ? Sadala ukitudanganya sisi una hela inatosha wale wana kiliKupitia ukurasa wa Twitter wa @officialalikiba ameandika kuwa “Sadala nisikilize ,kati ya hao watu ambao wewe unajidanganya kuwa Ni wenzako , na kudanganya watu wenye ufupi wa akili .hakuna hata mmoja ametanga ana hela akaandikwa FB. haina haja yakulalamika sisi ukituambia kama unahela tunaamini inatosha ila wale wana akili ndefu (mediocre)”

Je hili ni dongo kwa mtu au unahisi @officialalikiba ana maanisha nini hapa?

 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger