Billboard yatangaza kumtunuku Drake tuzo ya heshima ya msanii bora


Billboard wametangaza kumtunuku rapa Drake tuzo ya heshima ya msanii bora wa Muongo (kipindi cha miaka 10).
Drake anatarajiwa kutunukiwa tuzo hiyo ya heshima kwenye hafla za ugawaji wa tuzo za #BBMAs ambazo zitafanyika Mei 23 mwaka huu.

Drake anatajwa kuwa msanii kinara aliyeshinda tuzo nyingi za Billboard ambapo ana jumla ya tuzo 27 za 'Billboard Music Awards'.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE