.

5/31/2021

Fid Q "Kuna Rich Mavoko halafu kuna wengine, navutiwa sana na uimbaji wake"
Rapa kutoka katika kiwanda cha muziki cha Bongo Fleva Farid Kuband alimaarufu Fid Q ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram akionyesha kuvutiwa na uimbaji wa msanii Rich Mavoko, akiambatanisha na ngoma ya Mavoko mpya ya #Mapenzi, Fid Q ameandika kuwa:“Kuna huyu——-> @richmavoko halafu kuna wengine kama watatu au wanne.. ninavutiwa sana na TUNGO zao pamoja na “ufanisi wa mawimbi ya sauti” wanaouweka kwenye uimbaji wao.. ( wengine waliobaki ✋๐Ÿพ waniache kwanza ๐Ÿ˜€
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger