Gigy Money aandikiwa barua BASATA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Katibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Samwel Mbwana 'Braton' amesema wamewaandikia barua Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuhusu kuachiwa kwa msanii Gigy Money.
"Suala la Gigy Money lipo wazi na lipo mikononi mwa BASATA, tulishapeleka barua na tumewaomba pia tunategemea kesho Mei 8, Mhe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo atalitolea tamko" 

"Jinsi alivyokuwa amefungiwa walikuwa wamefungiwa watu wawili kwa kesi moja, lakini mwingine ameachiwa ameenda halafu yeye bado anatumikia kifungo, ni kitu ambacho kinaatuumiza, tumewaandikia barua" Samwel Mbwana 'Braton'

Siku ya Januari 5 msaniii Gigy Money alitolewa hukumu na BASATA ya kutojihusisha na masuala ya sanaa kwa muda wa miezi 6 na faini ya Tsh Milioni 1 kwa kosa la ukiukwaji wa maadili.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad