AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Helikopta ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na Kiongozi wa Chama cha Upinzani nchini Kenya cha ODM imepata ajali muda mfupi tu baada ya kumshusha yeye na Wasaidizi wake eneo Gem, Siaya, Kenya.
Taarifa ya Citizen TV imesema hata hivyo Rubani na Abiria wengine wanne waliokuwemo ndani yake wametoka salama ila wamepata majeraha madogo
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK