IGP Siro akutana na IGP wa Rwanda

advertise hereMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE