.

5/28/2021

MANGE amchana DIAMOND "Unataka FORBES wakuweke na umepanga, wanao wanavaa vitu vya China, huna hela"


MANGE amchana DIAMOND "Unataka FORBES wakuweke na umepanga, wanao wanavaa vitu vya China, huna hela"


Mangekimambi Ameandika haya:

Well deserved πŸ‘πŸ‘πŸ‘. Kwa kuangalia ile listi , BET watawapa wanaigeria sababu wana ushawishi mkubwa ila kwa huu mwaka uliokwisha Diamond ana deserve kushinda hii tuzo and this is coming from a committed Diamond hater (me).


Alafu kuhusu Forbes mdogo angu kwa upande wa Africa sometimes wanaangalia na lifestyle.Wale wasanii waliowekwa juu ukiangalia tu social media zao unaona lifestyle wanaozoishi,musician wa Nigeria humkuti na gari ya Japan.Wako Nama-G-wagon,Ma Rollys Royce wako na Maserati mpaka wanaziimba(Girl hop in my Maserati) kutwa wako na designer things, mijengo yao ni ya balaa alafu sio ya kupanga.Sasa wewe mtu akiangalia insta yako tu lifestyle anaona kabisa huna hela ndefu.Wanawake zako hata siku moja sijawahi ona unawaingiza Chanel au LV kuwafanyia shopping,wanao wenyewe wakivaa Gucci basi ni Gucci za MunaLove, kweli watoto wa tajiri anaestahili kuwa kwenye list ya Forbes watavalishwa Gucci za China? Davido alikuwa anamfanyia shopping Chioma huko Gucci, Chanel na akamnunulia bonge la Porsche, wanawake dunia nzima walikuwa wanaona wivu lifestyle Davido aliyompa Chioma.Sasa wewe mdogo wangu ukihonga demu ni gari ya Japan, tena sio ya maana, tena used, miles zimezidi laki,tena sometimes unamtapeli hata hiyo gari ya Japan humpi kweli kama ulivyofanya kwa Tanasha. Sasa waangalie wale wanaigeria, akihonga demu gari ni gari kweli kila mtu anakaa chini. Sasa mdogo wangu wewe mwenyewe tu huna gari ya kufanya watu waumie vichwa kama gari wanazoendesha wenzio.Mpaka leo unavaaga raba za FILA wale kina WizKid hata umlipe dola laki havai FILA.

Kina Davido nyimbo zao tu wanaimba kitajiri, utaskia Gucci, Prada, Chanel. Wewe hudhubutu hata kutaja hizo kwenye nyimbo zako. Na unaogopa kutaja maana unajua hapo ni parefu, ndo unabakigi kusema ‘Aga’.

Sisemi kwamba uchezee pesa zako au ujibane ili ufanye hayo niliyoyasema ila najaribu kuku explainia why Forbes wameku-diss.Na Forbes hata wakisema wafatilie wasafi FM and TV wanakuta mtu mwingine ndo mmiliki mkuu.

Jeuri yako ya pesa bado haijaonekana, Ila jeuri ya kujisifia una pesa kwa mdomo ndo unayo mdogo wangu. Ila usivunjuke moyo, kwa standard za kibongo we ni tajiri, maana TZ ukiwa na VX tu au X6 we ni milionea.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger