.

5/31/2021

Mange Kimambi Amkingia Diamond Kifua Apigiwe Kura BET Baada ya Wengine Kumtosa Kisa SiasaKuna kampeni huko mtandaoni ya kutokumpigia kura Diamond platnumz kura BET awards kisa alikuwa anapigia kampeni chama kimoja wakati wa Uchaguzi

Mange Kimambi amejitokeza kumtetea na kusema haya:

Reposted from @mangekimambi_ Hey guys lets vote for our boy. He is ours na ndo mwakilishi wetu mkubwa duniani.

Kama wewe ni mtanzania na unapanga kumpigia kura msanii wa nchi ingine jua we ni mngese. Ni bora usipige kura kuliko kupigia mtu wa nchi si yako. Maana hiyo sio chuki ila ni ujinga na upumbavu.

Na sio tu kumpigia eti sababu ni MTz ila jamaa ana deserve kushinda ile tuzo. Hata kama hatoshinda but he still deserves to win. Hakuna asielijua hilo. Huu mwaka uliokwisha kijana ametuburudisha mnooooooo.

UPDATE
Sasa Bandugu ni hivi nimeelekezwa kuwa kura watapiga commttee ya watu 500 tu sio sisi wote. Anyways, we still stand behind our boy, he is Tanzania’s pride and joy.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger