5/07/2021

Marekani: Polisi Waeleza Kuisambaratisha Birthday PARTY ya Chris Brown Kisa Msongamano Mkubwa wa MagariUnaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi.Ilianza kwa sauti kubwa kwanza ya muziki usiku kucha na majirani waliamua kusogea nyumbani kwa jamaa ili kuomba sauti ipunguzwe walifanya hivyo shida ilikuja kwenye foleni ya magari nje ya nyumba na ndani hasa pembezoni mwa barabara.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger