Mo Dewji Afunguka Kipigo cha Simba
 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohamed Dewji ameeleza kupiga chini mpango wake wa kujizawadia magari aina ya Ferarri na Rolls Royce.

Kauli hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amedai kuwa mpango huo anauweka kapuni na fedha hizo atazielekeza katika klabu ya Simba.

“Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya SimbaSC. Furaha ya Simba SC Tanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE