TAFITI: MAAMBUKIZI YACOVID-19 INAWEZA KUPELEKEA UHANITHI

 


Watafiti wa University of Miami's Miller School of Medicine wamechapisha katika Jarida la Afya ya Wanaume kuwa Virusi vya Corona vinaweza kusababisha Mwanaume kushindwa 'kusimamisha'

Tafiti imeonesha Corona huathiri Mishipa ya Damu ambayo pia hupeleka Damu kwenye dhakari, hivyo ikiathiriwa hupelekea tatizo hilo

Wanasayansi wameona haja ya Wanaume kuangaliwa zaidi kwenye suala la Chanjo ya #COVID19 ili kuepuka tatizo


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE