VIDEO: Shabiki Alietoka Kigoma Kwa Miguu Yuko Wapi Kajichimbia DSM ‘Hatujui alipo’

advertise here

 


Shabiki wa Yanga Mwanariadha Mang’suli Hussein (45) wa Manispaa ya Kigoma ujiji aliyeamua kukimbia kwa miguu kutoka Kigoma April 15 kuelekea Dar es Salaam kutazama mechi ya Yanga dhidi ya Simba Mwezi Mei hajulikani alipo mpaka sasa Meneja wake kazungumza kuhusiana na hili.


VIDEO:


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE