WHO: MTU 1 KATI YA 500 ANAWEZA KUPATA CHANJO KWA NCHI ZINAZOENDELEAKwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa chanjo ya #COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo ni mtu mmoja kati ya wanne amepata chanjo


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna atakayekuwa salama hadi watu wote wawe salama akiongeza Virusi vya Corona ni hatari popote vitakapokuwa vimesambaa


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE