Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Alikiba aachia ngoma mpya na Rudy boy wa P Square ‘ Salute’ (+ Audio)

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Msanii wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya Kings music Alikiba ameachia ngoma na msanii kutoka Nigeria Rudy boy Salute, kupitia ukurasa wake wa Instgram Alikiba ameandika ujumbe huu “Fans am Keeping my Promise !! I said its Back 2 Back until the Album Drops *SALUTE* ft my brother @iamkingrudy . This is a SPECIAL Record !! Enjoy & Take this moment to SALUTE YOUR LOVED ONES !!


VIDEO

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments