Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking News: Burna Boy Ashinda Tuzo Ya BET 2021, Diamond Aambulia Patupu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii Burna Boy kutokea nchini Nigeria leo Juni 28, 2021 amefanikiwa kushinda tuzo ya BET kupitia kipengele cha BEST INTERNATIONAL ACT 2021.

Burna Boy alikuwa anashindana na wakali wengine;- Diamond Platnumz (Tanzania), Aya Nakamuraa (Ufaransa), Emicida (Brazil), Headie One (Uingereza), Wizkidayo (Nigeria), YoungTand Bugsey (Uingereza) na Youssouphamusik (Ufaransa).

OPEN IN BROWSE

Post a Comment

0 Comments